Salama Na artwork

Entertainment News · Salama Na

Salama Na

by Salama Na

‘Salama na’ – meaning ‘Salama and’ is a one hour Podcast chat show hosted by a re known Radio &; TV personality Salama Jabir and available on Both Video and Audio of Various Platforms. In Salama na, Salama gets to sit down for exclusive chats with Celebrities, Influencers and Change makers in the society.

Chart trend

Position in the Entertainment News chart (US), last 90 days.

#161
all-time peak
9
days in the top 200 since Jan 2025

Latest episodes

Showing 20 · updated from the feed

SE7EP38 - SALAMA NA MFAUMEX2 | TOE - TO - TOE

Mfaume Mfaume ni yule mwana ambaye akitokea sehemu ni sahihi kwako kuwaambia wahusika kwamba jamani, mwamba huyu hapa! Muonekano wake pekee unamfanya mtu ajue yuko kwenye

Mar 2 2023
59 min

SE7EP37 - SALAMA NA TOUFIQ | Um'PENDAE

Toufiq ni moja ya majina makubwa kati ya wafanya biashara wazuri na sasa mwanasiasa na Mbunge wa Mpendae, kwa wazee na vijana wa visiwani humo yeye ni mmoja wa mifano ya

Feb 23 2023
35 min

SE7EP36 - SALAMA NA ALLY BEE | KULE NI KULE…

Kwenye jiji la ‘Maraha’ hapa nyumbani kwetu Tanzania ambayo kwa miaka ya hivi karibuni sehemu za starehe zimekua tele na kila mmoja ana uwezo wa kula bata zake vizuri tu

Feb 16 2023
1 h 04 min

SE7EP35 - SALAMA NA EVANS BUKUKU | STICK - TO- ITIVENESS

Ulikua muda mwingi hasa umepita toka mara ya mwisho nilionana na Evans wa Bukuku na kukaa naye chini kisha tukaongea. Na ki ukweli hajawahi kuwa rafiki yangu wa karibu il

Feb 9 2023
1 h 13 min

SE7EP34 - SALAMA NA FETTY DENSA | KUTOKA UBAVUNI...

Kwa ambao wanafuatilia mpira hapa nyumbani wanamjua mchezaji huyu mahiri wa Simba Queens lakini ambao wanafuatilla soka la wanawake hawa watakua wanaelewa uwezo binafsi n

Feb 2 2023
1 h 12 min

SE7EP33 - SALAMA NA MR BLUE | KHERI

Kheri Sameer aka Mr Blue aka Lil Sama aka Bayser ni mdogo wangu, mdogo wangu kabisa na uzuri nakumbuka kabisa mara ya kwanza kuonana nae na mpaka alivyokua amevaa. Jezi y

Jan 26 2023
56 min

SE7EP32 - SALAMA NA MRISHO NGASSA | MACHACHARI…

Mrisho Halfani Ngassa alikua top top top footballer na kwa bahati nzuri nishawahi kumshuhudia akiwa kazini kwake, tena ukimkuta kaamka vizuri basi uhakika wa burudani ni

Jan 19 2023
1 h 20 min

SE7EP31 - SALAMA NA KUSAH | NG’WANA AZAIZA!!

Kutoka zake Lushoto huku mkoani Tanga ni kijana mtanashati ambaye anajua kama amekuja town au jijini Dar es Salaam kwasababu ya kusaka pesa ili abadilishe maisha yake na

Jan 12 2023
50 min

SE7EP30 - SALAMA NA BRENDA | MY DEAR…

Ushawahi kumuangalia mtu kwa mbali na kujiuliza maswali mengi juu yake? Maswali kama siku yake ikoje, amewezaje? Kama ana familia? Ki kawaida huwa anaamka saa ngapi? Ames

Jan 5 2023
1 h 06 min

SE7EP29 - SALAMA NA DEO GRATIUS | PRIVILEGED?!

 Deo Gratias, jina tu linatosha kujielezea kama wewe nawe utakua kama mimi wa kutaka kujua maana ya majina ya watu ili uweze kujua tabia zao au ujiulize wazee wake waliku

Dec 29 2022
1 h 11 min

SE7EP28 - SALAMA NA GARA B | BABA SHUGHULI

Jina MC Gara B ni miungoni mwa majina makubwa sana kwenye ulimwengu wa kazi ambayo mwenzetu huyu amechagua kuifanya. Familia yake, mke na watoto, wazazi wake na wa mkewe

Dec 22 2022
1 h 00 min

SE7EP27 - SALAMA NA BARAKA KIZUGUTO | NEUTRAL

Baraka Kizuguto si moja ya majina yajulikanayo miungoni mwa wa Tanzania wengi ambao asilimia kubwa ya wenye simu za mkononi hupendelea zaidi habari za maisha ya watu maar

Dec 15 2022
1 h 12 min

SE7EP26 - SALAMA NA MASOUD KIPANYA | HERI KUFA MACHO…

Habibi Masoud Kipanya ni Ally Masoud Nyomwa ambaye ni LEGEND. Kwa mujibu wake alizaliwa huku kakunja ngumi na dhana yake ni kwamba alizaliwa ili awe bondia! Kwa anacho ki

Dec 8 2022
1 h 51 min

SE7EP24 - SALAMA NA LULU DIVA | UKIPATA KINYAKUE

Kuna mambo mengi wakati mwengine ambayo yanakua yanaendelea au yalitokea kwenye maisha ya baadhi ya watu ambao huja kukaa kwenye kiti chetu chakavu na meza yenye kigae. I

Nov 30 2022
1 h 15 min

SE7EP25 - SALAMA NA DORIS MOLLEL | HALF WOMAN, HALF AMAZING

Doris Mollel kwa kuanzia tu tuanze na jina lake, ni zuri lenye kukumbukwa ki rahisi, yeye mwenyewe pia ni mrembo na mkarimu, sana. Roho yake ni kama rangi yake, nyeupe na

Nov 24 2022
1 h 15 min

SE7EP23 - SALAMA NA WALTER CHILAMBO | HABA NA HABA

Pengine jina la episode hii linaweza likakupa muangaza kidogo wa story fupi ya maisha ya mgeni wetu wa wiki hii kwenye kiti chetu chakavu na meza ya kigae ambaye leo hii

Nov 17 2022
1 h 06 min

SE7EP22 - SALAMA NA ANNA TIBAIJUKA | LA PROFESSEUR

Nilipoandikiwa ujumbe mfupi na Edwin Bruno ambaye ni mkwe wa Professor kwamba Mama amekubalia kufanya kipindi na sisi siku hiyo ya Jumapili akishatoka church nilihisi kam

Nov 10 2022
1 h 01 min

SE7EP21 - SALAMA NA BILLNASS | MJUKUU

Katika pita pita zangu siku si nyingi nilimsikia mtu akimzungumzia mgeni watu wa wiki hii kwamba ni ‘Jay Z’ wa Bongo na si kwasababu kamuoa mmoja wa wasanii hodari wa kik

Nov 3 2022
1 h 15 min

SE7EP20 - SALAMA NA CAROL NDOSI | ANAMEREMETA

Ushawahi kuwa na mtu ambaye mnafahamiana vizuri miaka nenda na miaka rudi na hata pengine kwa u busy wa maisha zikapita siku hamjaongea lakini unajua yuko sawa yeye na Fa

Oct 27 2022
1 h 05 min

SE7EP19 - SALAMA NA DITTO | TUNER

Lameck Ditto Sr ni Baba, Mwalimu, mwanamuziki, muandishi, mentor, mume na zaidi ya yote ni mwana tu ambaye maisha alopitoa kipindi anakua hayajawahi na wala hayatawahi ku

Oct 20 2022
1 h 20 min

Chart positions

Where Salama Na ranks today in each Apple Podcasts chart (US, Sep 14, 2026).

#161 NEW Entertainment News US

More podcasts like Salama Na

Popular shows in Entertainment News, for your next listen.

Browse charts by category

Daily updated Apple Podcasts rankings for the United States.

About Salama Na on Reason.fm

Here you find the Apple Podcasts chart positions of Salama Na, its latest episodes to listen to directly, and reviews from listeners. Rankings are updated daily for the United States.

Contact

Questions or issues? Reach us at hello@reason.fm

0:000:00